Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile

Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-24 DOI:10.4314/kcl.v20i2.8
A. S. Ponera, Jasmine Kinga
{"title":"Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile","authors":"A. S. Ponera, Jasmine Kinga","doi":"10.4314/kcl.v20i2.8","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inajadili kuhusu wakaa kama kipengele cha kibunilizi katika utunzi wa kazi za fasihi. Shabaha kuu ni kufafanua misingi iliyomwongoza mwandishi kutumia wakaa kwa jinsi inavyodhihirika katika kazi teule. Nadharia ya Umuundo imetumika kama kiunzi cha kukusanyia data pamoja na kuendeshea mjadala wa makala. Data za makala hii zilipatikana kwa kutumia njia ya udurusu wa nyaraka. Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa, ujenzi wa wakaa katika kazi teule umeegemea katika misingi ya kiutamaduni, kipokezi na kitajiriba.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"9 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.8","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inajadili kuhusu wakaa kama kipengele cha kibunilizi katika utunzi wa kazi za fasihi. Shabaha kuu ni kufafanua misingi iliyomwongoza mwandishi kutumia wakaa kwa jinsi inavyodhihirika katika kazi teule. Nadharia ya Umuundo imetumika kama kiunzi cha kukusanyia data pamoja na kuendeshea mjadala wa makala. Data za makala hii zilipatikana kwa kutumia njia ya udurusu wa nyaraka. Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa, ujenzi wa wakaa katika kazi teule umeegemea katika misingi ya kiutamaduni, kipokezi na kitajiriba.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信