Athari ya Muktadha katika Utunzi wa Kazi za Mathias Mnyampala

Anna N. Kyamba
{"title":"Athari ya Muktadha katika Utunzi wa Kazi za Mathias Mnyampala","authors":"Anna N. Kyamba","doi":"10.56279/jk.v85i1.4","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inakusudia kuchunguza athari ya muktadha katika utunzi wa kazi za Mathias Mnyampala. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna kazi ya fasihi inayoibuka katika ombwe. Kwa kawaida kazi mbalimbali hutungwa kwa kuzingatia miktadha anuwai kama vile wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kijiografia. Wapo watunzi wengi wa fasihi ya Kiswahili waliotunga kazi za fasihi katika nyakati tofauti, lakini miktadha ya utunzi wa kazi zao haijajulikana kikamilifu. Mmojawapo wa watunzi hao ni Mathias Mnyampala. Kwa ujumla, katika uwanja wa fasihi mtaalamu huyu amesahaulika katika uhakiki na uchambuzi wa kazi zake (Madumulla, 2011; Kyamba, 2018). Kadhalika katika uhakiki wa kazi za mtaalamu huyu muktadha wa utunzi umegusiwa tu na baadhi ya watafiti pasipo kufanya uchambuzi. Mulokozi (2017) anaeleza kuwa ni muhimu kuzingatia muktadha wa mwandishi katika uhakiki wa kazi ya kisanaa ili ieleweke kikamilifu. Kutokana na umuhimu wa suala hilo, makala hii inakusudia kuchunguza athari ya muktadha katika utunzi wa kazi za Mathias Mnyampala. Makala hii imetumia vitabu vinne vya ushairi. Aidha, makala imeongozwa na Nadharia ya Mwingilianomatini ya Julia Kristeva ya mwaka 1960 inayosema kuwa hakuna kazi ya inayoibuka katika ombwe. Kwa kutumia nadharia hii, tumebaini kuwa muktadha wa utunzi wa kazi za Mnyampala unaingiliana, unakamilishana na unategemeana na matini nyingine tangulizi.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-06-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.4","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inakusudia kuchunguza athari ya muktadha katika utunzi wa kazi za Mathias Mnyampala. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna kazi ya fasihi inayoibuka katika ombwe. Kwa kawaida kazi mbalimbali hutungwa kwa kuzingatia miktadha anuwai kama vile wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kijiografia. Wapo watunzi wengi wa fasihi ya Kiswahili waliotunga kazi za fasihi katika nyakati tofauti, lakini miktadha ya utunzi wa kazi zao haijajulikana kikamilifu. Mmojawapo wa watunzi hao ni Mathias Mnyampala. Kwa ujumla, katika uwanja wa fasihi mtaalamu huyu amesahaulika katika uhakiki na uchambuzi wa kazi zake (Madumulla, 2011; Kyamba, 2018). Kadhalika katika uhakiki wa kazi za mtaalamu huyu muktadha wa utunzi umegusiwa tu na baadhi ya watafiti pasipo kufanya uchambuzi. Mulokozi (2017) anaeleza kuwa ni muhimu kuzingatia muktadha wa mwandishi katika uhakiki wa kazi ya kisanaa ili ieleweke kikamilifu. Kutokana na umuhimu wa suala hilo, makala hii inakusudia kuchunguza athari ya muktadha katika utunzi wa kazi za Mathias Mnyampala. Makala hii imetumia vitabu vinne vya ushairi. Aidha, makala imeongozwa na Nadharia ya Mwingilianomatini ya Julia Kristeva ya mwaka 1960 inayosema kuwa hakuna kazi ya inayoibuka katika ombwe. Kwa kutumia nadharia hii, tumebaini kuwa muktadha wa utunzi wa kazi za Mnyampala unaingiliana, unakamilishana na unategemeana na matini nyingine tangulizi.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信