Baadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wake

Teresiah Nyambura, Peter Githinji
{"title":"Baadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wake","authors":"Teresiah Nyambura, Peter Githinji","doi":"10.37284/jammk.6.1.1166","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika eneo la Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Tulitumia mihimili miwili ya nadharia ya “Modeli ya Mtazamo wa Wasikilizaji” (Bell, 1984, 2014). Mhimili wa kwanza unadai kuwa Mtazamo wa wasikilizaji hutumika katika viwango vyote vya lugha iwe ni lugha moja au wingi lugha kwani haiangazii tu kubadilisha mtindo wa utamkaji wa sauti, bali pia uchaguzi wa jinsi ya kutamka sauti na upole wa mazungumzo. Mhimili wa pili hudai kuwa mtindo wa matumizi ya lugha katika uzungumzaji huwa chanzo cha mabadiliko katika mahusiano ya mazungumzo. Usampulishaji wa kimaksudi ulitumika kwa sababu ya urahisi wa kupata walengwa wa makala haya. Kiasa kikubwa cha data kilitokana na kanda za sauti za mahubiri mbalimbali kutoka kwa wahubiri tofauti. Hatimaye, kanda tatu ambazo wahubiri walizolota na tatu ambazo wahubiri hawakuzolota zilitumika. Kanda za mahubiri zilichujwa kwa kutumia programu ya PRAAT ili kupata sifa za kiakustika zinazobainisha sauti zoloto. Mbinu za hojaji, mahojiano na wahubiri binafsi, uchunzaji na mahojiano na makundi legwa zilitumika katika uchanganuzi na ufasili wa data. Matokeo ya utafiti yalibainisha vigezo vikuu vitano ambavyo ni kipimo cha hezi, urefu wa mawimbi ya sauti, kiwango cha desibeli, mpumuo wa sauti, kiwango cha tambo na tofauti kati ya fomanti ya kwanza na ya pili kama baadhi ya sifa zinazobainisha sauti zoloto za wahubiri wa Kipentekosti","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"17 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1166","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika eneo la Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Tulitumia mihimili miwili ya nadharia ya “Modeli ya Mtazamo wa Wasikilizaji” (Bell, 1984, 2014). Mhimili wa kwanza unadai kuwa Mtazamo wa wasikilizaji hutumika katika viwango vyote vya lugha iwe ni lugha moja au wingi lugha kwani haiangazii tu kubadilisha mtindo wa utamkaji wa sauti, bali pia uchaguzi wa jinsi ya kutamka sauti na upole wa mazungumzo. Mhimili wa pili hudai kuwa mtindo wa matumizi ya lugha katika uzungumzaji huwa chanzo cha mabadiliko katika mahusiano ya mazungumzo. Usampulishaji wa kimaksudi ulitumika kwa sababu ya urahisi wa kupata walengwa wa makala haya. Kiasa kikubwa cha data kilitokana na kanda za sauti za mahubiri mbalimbali kutoka kwa wahubiri tofauti. Hatimaye, kanda tatu ambazo wahubiri walizolota na tatu ambazo wahubiri hawakuzolota zilitumika. Kanda za mahubiri zilichujwa kwa kutumia programu ya PRAAT ili kupata sifa za kiakustika zinazobainisha sauti zoloto. Mbinu za hojaji, mahojiano na wahubiri binafsi, uchunzaji na mahojiano na makundi legwa zilitumika katika uchanganuzi na ufasili wa data. Matokeo ya utafiti yalibainisha vigezo vikuu vitano ambavyo ni kipimo cha hezi, urefu wa mawimbi ya sauti, kiwango cha desibeli, mpumuo wa sauti, kiwango cha tambo na tofauti kati ya fomanti ya kwanza na ya pili kama baadhi ya sifa zinazobainisha sauti zoloto za wahubiri wa Kipentekosti
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信