Makosa ya Kifonolojia Miongoni mwa Wanafunzi wa Kiigembe katika Ujifunzaji wa Kiswahili

Jackson Kimathi Kanake
{"title":"Makosa ya Kifonolojia Miongoni mwa Wanafunzi wa Kiigembe katika Ujifunzaji wa Kiswahili","authors":"Jackson Kimathi Kanake","doi":"10.37284/jammk.6.1.1153","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yananuia kuainisha na kuchanganua makosa ya kifonolojia miongoni mwa wanafunzi wanaozungumza Kiigembe katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Athari hizo hutokea kwa sababu ya kuingiliana kwa lugha hizi mbili ambazo ni Kiswahili na Kiigembe. Ni kutokana na maingiliano haya ambapo tunapata athari ya Kiigembe katika Kiswahili na athari hizo pia hutegemea miundo ya lugha zinazohusika. Makala haya yameongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Linganuzi. Hii ni nadharia ya ujifunzaji wa lugha ya pili ambayo hulinganisha na kulinganua lugha mbili ili kuonyesha jinsi zinavyofanana na kutofautiana. Data ya makala haya inatokana na sampuli ya wanafunzi mia mbili na arobaini wa shule za upili za kutwa kutoka Kaunti Ndogo ya Igembe Kusini, Kaunti ya Meru nchini Kenya. Utafiti wa nyanjani ulihusisha mahojiano, hojaji, usimuliaji wa hadithi na pia uandishi wa insha. Matokeo ya utafiti yalibainisha kuwa kuna tofauti kidogo katika baadhi ya fonimu za lugha ya Kiigembe na ya Kiswahili. Tofauti katika miundo ya lugha hizi mbili imebainika kuwa chanzo cha athari ya Kiigembe inayojitokeza katika lugha ya Kiswahili","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"186 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-29","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1153","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala haya yananuia kuainisha na kuchanganua makosa ya kifonolojia miongoni mwa wanafunzi wanaozungumza Kiigembe katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Athari hizo hutokea kwa sababu ya kuingiliana kwa lugha hizi mbili ambazo ni Kiswahili na Kiigembe. Ni kutokana na maingiliano haya ambapo tunapata athari ya Kiigembe katika Kiswahili na athari hizo pia hutegemea miundo ya lugha zinazohusika. Makala haya yameongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Linganuzi. Hii ni nadharia ya ujifunzaji wa lugha ya pili ambayo hulinganisha na kulinganua lugha mbili ili kuonyesha jinsi zinavyofanana na kutofautiana. Data ya makala haya inatokana na sampuli ya wanafunzi mia mbili na arobaini wa shule za upili za kutwa kutoka Kaunti Ndogo ya Igembe Kusini, Kaunti ya Meru nchini Kenya. Utafiti wa nyanjani ulihusisha mahojiano, hojaji, usimuliaji wa hadithi na pia uandishi wa insha. Matokeo ya utafiti yalibainisha kuwa kuna tofauti kidogo katika baadhi ya fonimu za lugha ya Kiigembe na ya Kiswahili. Tofauti katika miundo ya lugha hizi mbili imebainika kuwa chanzo cha athari ya Kiigembe inayojitokeza katika lugha ya Kiswahili
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信