Mchango wa Mathias Mnyampala katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili

Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-23 DOI:10.4314/kcl.v20i1.9
Anna N. Kyamba
{"title":"Mchango wa Mathias Mnyampala katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili","authors":"Anna N. Kyamba","doi":"10.4314/kcl.v20i1.9","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inakusudia kuchunguza mchango wa Mathias Mnyampala katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili. Mnyampala ni miongoni mwa washairi maarufu wa ushairi wa Kiswahili katika karne ya ishirini. Kwa ujumla, mchango wa Mnyampala katika ushairi wa Kiswahili haujulikani kikamilifu tukilinganisha na washairi wengine kama Muyaka bin Haji na Shaaban Robert. Maswali tunayojiuliza ni kwamba: kwa nini Mnyampala hajazungumziwa na wataalamu mbalimbali? Mnyampala alikuwa na mchango gani katika ushairi wa Kiswahili? Kutokana na maswali hayo tunaona kuna haja ya kuchunguza mchango wa mtaalamu huyu katika ushairi wa Kiswahili. Hivyo, katika makala hii tunabainisha mchango wa Mnyampala (akiwa mshairi wa mwanzo wa miaka ya 1960 anayetoka sehemu za bara) katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili kimaudhui na kifani. Data zilizomo ndani ya makala hii zimetokana na mbinu ya maktabani na mahojiano na watafitiwa nyanjani kuhusu maisha, historia ya Mnyampala, kazi zake zilizochapishwa na miswada yake isiyochapishwa ambayo ni: Hazina ya Washairi, Mahadhi ya Kiswahili na Mashairi ya Vidato.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.9","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inakusudia kuchunguza mchango wa Mathias Mnyampala katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili. Mnyampala ni miongoni mwa washairi maarufu wa ushairi wa Kiswahili katika karne ya ishirini. Kwa ujumla, mchango wa Mnyampala katika ushairi wa Kiswahili haujulikani kikamilifu tukilinganisha na washairi wengine kama Muyaka bin Haji na Shaaban Robert. Maswali tunayojiuliza ni kwamba: kwa nini Mnyampala hajazungumziwa na wataalamu mbalimbali? Mnyampala alikuwa na mchango gani katika ushairi wa Kiswahili? Kutokana na maswali hayo tunaona kuna haja ya kuchunguza mchango wa mtaalamu huyu katika ushairi wa Kiswahili. Hivyo, katika makala hii tunabainisha mchango wa Mnyampala (akiwa mshairi wa mwanzo wa miaka ya 1960 anayetoka sehemu za bara) katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili kimaudhui na kifani. Data zilizomo ndani ya makala hii zimetokana na mbinu ya maktabani na mahojiano na watafitiwa nyanjani kuhusu maisha, historia ya Mnyampala, kazi zake zilizochapishwa na miswada yake isiyochapishwa ambayo ni: Hazina ya Washairi, Mahadhi ya Kiswahili na Mashairi ya Vidato.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信