{"title":"Mwanamke wa Kiswahili katika Utenzi wa Mwanakupona","authors":"S. Wandera-Simwa","doi":"10.37284/jammk.4.1.422","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inahakiki taswira ya mwanamke wa Kiswahili katika Utenzi wa Mwanakupona kwa kuzingatia utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, ambao ndio wakati uliotungwa utenzi huu. Picha ya mwanamke huyu imehakikiwa kwa namna ambavyo inamulika mwanamke wa Kiswahili wa karne hiyo. Pamoja na kuusoma Utenzi wa Mwanakupona, tutahakiki kuhusu utenzi huu, na maandishi kuhusu utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, mtafiti aliwahoji Waswahili watajika, wake kwa waume, kuhusu mwanamke katika utamaduni wa Waswahili. Pia, aliwasaili washairi wasifika na wanawake wa Kiswahili kuhusu uelewa wao wa utenzi huu. Yote haya kwa pamoja yalitoa mwanga kuhusu nafasi ya mwanamke katika utenzi huu maarufu. Nadharia ya uhalisia ilitumikizwa katika uhakiki huu na ilibainika kuwa mwanamke katika Utenzi wa Mwanakupona ni picha halisi ya mwanamke wa tabaka la juu, wa karne ya kumi na tisa.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"5 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-09-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.4.1.422","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inahakiki taswira ya mwanamke wa Kiswahili katika Utenzi wa Mwanakupona kwa kuzingatia utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, ambao ndio wakati uliotungwa utenzi huu. Picha ya mwanamke huyu imehakikiwa kwa namna ambavyo inamulika mwanamke wa Kiswahili wa karne hiyo. Pamoja na kuusoma Utenzi wa Mwanakupona, tutahakiki kuhusu utenzi huu, na maandishi kuhusu utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, mtafiti aliwahoji Waswahili watajika, wake kwa waume, kuhusu mwanamke katika utamaduni wa Waswahili. Pia, aliwasaili washairi wasifika na wanawake wa Kiswahili kuhusu uelewa wao wa utenzi huu. Yote haya kwa pamoja yalitoa mwanga kuhusu nafasi ya mwanamke katika utenzi huu maarufu. Nadharia ya uhalisia ilitumikizwa katika uhakiki huu na ilibainika kuwa mwanamke katika Utenzi wa Mwanakupona ni picha halisi ya mwanamke wa tabaka la juu, wa karne ya kumi na tisa.