Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili

Elishafati J. Ndumiwe
{"title":"Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili","authors":"Elishafati J. Ndumiwe","doi":"10.56279/jlle.v16i2.2","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mada na fokasi ni viambajengo vya sentensi za Kiswahili kwa mkabala wa kipragmatiki. Mada hutokea kabla ya kitenzi ilhali fokasi hutokea mara baada ya kitenzi. Hata hivyo, unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji, uongezaji au uondoaji wa viambajengo vya kabla au baada ya kitenzi. Kwa hiyo, lengo la makala haya ni kupambanua athari za unyambuaji wa kitenzi katika usimbaji wa mada na fokasi katika sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka kutoka kitabu cha Maendeleo ya Uhusika kilichoandikwa na Khamis (2008). Data ya utafiti huu imechambuliwa kwa mkabala wa kitaamuli. Aidha, uchanganuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Upanguaji wa Umbo la Kifonetiki ya Kidwai (1999). Utafiti huu umebaini kuwa unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji wa mada na fokasi katika sentensi. Mathalani, mada na fokasi husimbwa katika viambajengo vilivyobakia katika sentensi baada ya unyambuaji wa utendano na utendeka. Katika unyambuaji wa utendea, fokasi huhamia kwenye kiambajengo kilichoongezeka. Kwa upande wa unyambuaji tendeshi, kiambajengo kinachoongezwa katika utendeshi husimbwa kama mada. Vilevile, utendwa hubadili viambajengo vilivyokuwa mada kuwa fokasi na kinyume chake. Utafiti mwingine unaweza kuchunguza usimbaji wa fokasi katika utendua, utendama, utendata au mwambatano wa kauli zaidi ya moja katika kitenzi. Dhana za Msingi: Mada, fokasi, usimbaji, unyambuaji wa kitenzi Topic and focus are pragmatic constituents in Swahili sentences. Topic precedes the verb, while focus appears immediately after verb. However, Swahili verbal extensions lead to change in the position of verbal arguments, an increase in the number of verbal arguments and a reduction in the number of verbal arguments. The purpose of this paper was to examine the effect of verbal extensions on encoding topic and focus in Swahili sentences. Documentary review was used to collect data from a book entitled ‘Maendeleo ya Uhusika’ by Khamis (2008). The data was analyzed using a qualitative approach. The study was guided by Phonetic Form Scrambling Theory by Kidwai (1999). The fundings of this study show change in the position of topic and focus after verbal extension have been added in Swahili sentences. For example, in reciprocal and stative constructions, topic and focus are encoded in remaining constituents after some of them have been dropped. In addition, the applicative verb encodes new focus, while the causative encodes a new topic. Furthermore, in the passive verb extension, topic changes into focus, and vice versa. The study suggests further research into other extensions such as the reversive, contactive and positional. A study could also be done on combined verb extensions in Swahili sentences. Keywords: Topic, focus, verb extension, encoding and verb argument","PeriodicalId":309195,"journal":{"name":"Journal of Linguistics and Language in Education","volume":"447 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-31","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Linguistics and Language in Education","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jlle.v16i2.2","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Mada na fokasi ni viambajengo vya sentensi za Kiswahili kwa mkabala wa kipragmatiki. Mada hutokea kabla ya kitenzi ilhali fokasi hutokea mara baada ya kitenzi. Hata hivyo, unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji, uongezaji au uondoaji wa viambajengo vya kabla au baada ya kitenzi. Kwa hiyo, lengo la makala haya ni kupambanua athari za unyambuaji wa kitenzi katika usimbaji wa mada na fokasi katika sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka kutoka kitabu cha Maendeleo ya Uhusika kilichoandikwa na Khamis (2008). Data ya utafiti huu imechambuliwa kwa mkabala wa kitaamuli. Aidha, uchanganuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Upanguaji wa Umbo la Kifonetiki ya Kidwai (1999). Utafiti huu umebaini kuwa unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji wa mada na fokasi katika sentensi. Mathalani, mada na fokasi husimbwa katika viambajengo vilivyobakia katika sentensi baada ya unyambuaji wa utendano na utendeka. Katika unyambuaji wa utendea, fokasi huhamia kwenye kiambajengo kilichoongezeka. Kwa upande wa unyambuaji tendeshi, kiambajengo kinachoongezwa katika utendeshi husimbwa kama mada. Vilevile, utendwa hubadili viambajengo vilivyokuwa mada kuwa fokasi na kinyume chake. Utafiti mwingine unaweza kuchunguza usimbaji wa fokasi katika utendua, utendama, utendata au mwambatano wa kauli zaidi ya moja katika kitenzi. Dhana za Msingi: Mada, fokasi, usimbaji, unyambuaji wa kitenzi Topic and focus are pragmatic constituents in Swahili sentences. Topic precedes the verb, while focus appears immediately after verb. However, Swahili verbal extensions lead to change in the position of verbal arguments, an increase in the number of verbal arguments and a reduction in the number of verbal arguments. The purpose of this paper was to examine the effect of verbal extensions on encoding topic and focus in Swahili sentences. Documentary review was used to collect data from a book entitled ‘Maendeleo ya Uhusika’ by Khamis (2008). The data was analyzed using a qualitative approach. The study was guided by Phonetic Form Scrambling Theory by Kidwai (1999). The fundings of this study show change in the position of topic and focus after verbal extension have been added in Swahili sentences. For example, in reciprocal and stative constructions, topic and focus are encoded in remaining constituents after some of them have been dropped. In addition, the applicative verb encodes new focus, while the causative encodes a new topic. Furthermore, in the passive verb extension, topic changes into focus, and vice versa. The study suggests further research into other extensions such as the reversive, contactive and positional. A study could also be done on combined verb extensions in Swahili sentences. Keywords: Topic, focus, verb extension, encoding and verb argument
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信