Ubainishaji wa ‘Sura Mbili’ katika Methali za Kiswahili

J. N. Maitaria
{"title":"Ubainishaji wa ‘Sura Mbili’ katika Methali za Kiswahili","authors":"J. N. Maitaria","doi":"10.56279/jk.v85i1.15","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Tafiti mbalimbali zimewahi kufanywa kuhusu methali za Kiswahili. Tafiti hizo zimejikita mno kwenye fasiri za maana, fafanuzi, uainishaji na maelezo ya kijumla. Juhudi hizo za awali zinaashiria kuwa, methali za Kiswahili ni ‘jungu kuu’ na zinahitaji uhakiki na utafiti wa kina. Kutokana na umuhimu wake katika jamii, zimekuwa zikipokezwa kimuktadha kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Kwa maana hii, zimekuwa ni vito vya kuhifadhi na kuwasilisha busara zinazojikita katika falsafa za jamii. Aidha, zimekuwa zikitumika zaidi katika ubainishaji na uelekezaji wa masuala muhimu ya jamii. Maelezo ya kijumla yamekuwa yakitolewa kuhusu methali hizo kwamba, ni ‘kauli fupi’ za kimapokeo. Huo ni uegemeo unaojikita kwenye sifa za kimuundo na kimaumbo. Mwelekeo huo hausaidii sana katika ubainishaji wa busara katika jamii husika. Kutokana na jinsi methali za Kiswahili zinavyotumiwa katika jamii, kuna namna mbili zinazojitokeza: ufupi na urefu wake. Nadharia ya Semiotiki imetumika katika kufafanulia sura hizo mbili kwa kuzingatia miktadha ya kijamii.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"17 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.15","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Tafiti mbalimbali zimewahi kufanywa kuhusu methali za Kiswahili. Tafiti hizo zimejikita mno kwenye fasiri za maana, fafanuzi, uainishaji na maelezo ya kijumla. Juhudi hizo za awali zinaashiria kuwa, methali za Kiswahili ni ‘jungu kuu’ na zinahitaji uhakiki na utafiti wa kina. Kutokana na umuhimu wake katika jamii, zimekuwa zikipokezwa kimuktadha kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Kwa maana hii, zimekuwa ni vito vya kuhifadhi na kuwasilisha busara zinazojikita katika falsafa za jamii. Aidha, zimekuwa zikitumika zaidi katika ubainishaji na uelekezaji wa masuala muhimu ya jamii. Maelezo ya kijumla yamekuwa yakitolewa kuhusu methali hizo kwamba, ni ‘kauli fupi’ za kimapokeo. Huo ni uegemeo unaojikita kwenye sifa za kimuundo na kimaumbo. Mwelekeo huo hausaidii sana katika ubainishaji wa busara katika jamii husika. Kutokana na jinsi methali za Kiswahili zinavyotumiwa katika jamii, kuna namna mbili zinazojitokeza: ufupi na urefu wake. Nadharia ya Semiotiki imetumika katika kufafanulia sura hizo mbili kwa kuzingatia miktadha ya kijamii.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信