Dhima za Kipragmatiki za Kiunganishi na Baina ya Vishazi Ambatani katika Lugha ya Kiswahili

Utafiti Pub Date : 2023-05-26 DOI:10.1163/26836408-15020072
L. E. Kombe
{"title":"Dhima za Kipragmatiki za Kiunganishi na Baina ya Vishazi Ambatani katika Lugha ya Kiswahili","authors":"L. E. Kombe","doi":"10.1163/26836408-15020072","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"\nMakala hii inalenga kufafanua dhima za kipragmatiki zinazodokezwa kwa kiunganishi ‘na’ baina ya vishazi ambatani katika lugha ya Kiswahili. Dhima hizo huonyesha mahusiano yaliyopo baina ya vishazi vilivyoambatanishwa kwa kiunganishi hicho. Makala hii inaongozwa na nadharia ya Uhusiano ya Sperber na Wilson ambayo inahusu utambuzi wa binadamu na mawasiliano. Data zilizotumika katika makala hii zimepatikana katika machapisho ya kifasihi, hotuba na magazeti. Makala imeonyesha kuwa kiunganishi ‘na’ kina dhima mbalimbali za kipragmatiki ambazo ni uongezi, usababishi, ukinzani, usambamba na ufafanuzi. Dhima hizo ni fasiri ya mahusiano yaliyopo baina ya vishazi ambatani ambayo hayakusemwa kwa uwazi. Makala imeonyesha kuwa kiunganishi ‘na’ ni kiashiria muhimu cha kiisimu kinachomwongoza mshiriki wa mazungumzo kupata fasiri iliyokusudiwa kwa kudhibiti mchakato wa ufahamu. Pia, makala imeonyesha kwamba kiunganishi ‘na’ hutumika sambamba na viashiria vingine vya kiisimu na vya kiulimwengu kuashiria fasiri mahususi iliyokusudiwa baina ya vishazi vilivyoambatanishwa.","PeriodicalId":85828,"journal":{"name":"Utafiti","volume":"30 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-05-26","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Utafiti","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.1163/26836408-15020072","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inalenga kufafanua dhima za kipragmatiki zinazodokezwa kwa kiunganishi ‘na’ baina ya vishazi ambatani katika lugha ya Kiswahili. Dhima hizo huonyesha mahusiano yaliyopo baina ya vishazi vilivyoambatanishwa kwa kiunganishi hicho. Makala hii inaongozwa na nadharia ya Uhusiano ya Sperber na Wilson ambayo inahusu utambuzi wa binadamu na mawasiliano. Data zilizotumika katika makala hii zimepatikana katika machapisho ya kifasihi, hotuba na magazeti. Makala imeonyesha kuwa kiunganishi ‘na’ kina dhima mbalimbali za kipragmatiki ambazo ni uongezi, usababishi, ukinzani, usambamba na ufafanuzi. Dhima hizo ni fasiri ya mahusiano yaliyopo baina ya vishazi ambatani ambayo hayakusemwa kwa uwazi. Makala imeonyesha kuwa kiunganishi ‘na’ ni kiashiria muhimu cha kiisimu kinachomwongoza mshiriki wa mazungumzo kupata fasiri iliyokusudiwa kwa kudhibiti mchakato wa ufahamu. Pia, makala imeonyesha kwamba kiunganishi ‘na’ hutumika sambamba na viashiria vingine vya kiisimu na vya kiulimwengu kuashiria fasiri mahususi iliyokusudiwa baina ya vishazi vilivyoambatanishwa.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:604180095
Book学术官方微信