UHALISIA wa MAUDHUI YA USALAMA KATIKA FASIHI ya WATOTO:MFANO wa RIWAYA ya KIJANA MPELELEZI,WAMITILA K.W (2003) na USIKU wa MANANE,KOBIA J. (2010)

IF 0.8 Q3 LINGUISTICS
Rose Ndanu Mboya
{"title":"UHALISIA wa MAUDHUI YA USALAMA KATIKA FASIHI ya WATOTO:MFANO wa RIWAYA ya KIJANA MPELELEZI,WAMITILA K.W (2003) na USIKU wa MANANE,KOBIA J. (2010)","authors":"Rose Ndanu Mboya","doi":"10.47941/ejl.999","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya ya Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007) na Usiku wa Manane (Kobia, 2010). Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu ni kubainisha masuala ya usalama yaliyodhihirishwa na waandishi wa riwaya za Usiku wa Manane (Kobia ,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007), kueleza jinsi wahusika watoto wanaohusishwa na maudhui ya usalama wanavyosawiriwa na kutathmini uhalisia wa maudhui yanayohusu usalama na yanayonuiwa watoto kama hadhira lengwa katika riwaya za Usiku wa Manane (Kobia,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007). Nadharia za uhalisia wa kijamaa na Soshiolojia ya fasihi zilitoa msingi madhubuti kuhusu mada husika. Makala hii inathibitisha kuwa masuala ya usalama yanayobainika yanafungamana na hali ilivyo katika maisha ya jamii ya karne hii ya ishirini na moja. Vita vya kikabila na ukosefu wa usalama katika jamii vinapaswa kuondolewa na kusahaulika kabisa. Hadithi za watoto za waandishi hawa zinadhihirisha uhalisia wa maudhui ya usalama. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuchukua hatua za dharura kuwafahamisha watoto kuhusu umuhimu wa amani katika taifa ili wakikua wawe na uwezo wa kueneza maridhiano baina ya jamii lugha zote.","PeriodicalId":43181,"journal":{"name":"European Journal of Applied Linguistics","volume":"41 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.8000,"publicationDate":"2022-08-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"European Journal of Applied Linguistics","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.47941/ejl.999","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"Q3","JCRName":"LINGUISTICS","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya ya Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007) na Usiku wa Manane (Kobia, 2010). Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu ni kubainisha masuala ya usalama yaliyodhihirishwa na waandishi wa riwaya za Usiku wa Manane (Kobia ,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007), kueleza jinsi wahusika watoto wanaohusishwa na maudhui ya usalama wanavyosawiriwa na kutathmini uhalisia wa maudhui yanayohusu usalama na yanayonuiwa watoto kama hadhira lengwa katika riwaya za Usiku wa Manane (Kobia,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007). Nadharia za uhalisia wa kijamaa na Soshiolojia ya fasihi zilitoa msingi madhubuti kuhusu mada husika. Makala hii inathibitisha kuwa masuala ya usalama yanayobainika yanafungamana na hali ilivyo katika maisha ya jamii ya karne hii ya ishirini na moja. Vita vya kikabila na ukosefu wa usalama katika jamii vinapaswa kuondolewa na kusahaulika kabisa. Hadithi za watoto za waandishi hawa zinadhihirisha uhalisia wa maudhui ya usalama. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuchukua hatua za dharura kuwafahamisha watoto kuhusu umuhimu wa amani katika taifa ili wakikua wawe na uwezo wa kueneza maridhiano baina ya jamii lugha zote.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
CiteScore
2.00
自引率
0.00%
发文量
24
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信