{"title":"Tamathali za Semi katika Mashairi ya Shaaban Robert","authors":"Badredden Salem","doi":"10.51984/johs.v23i1.2697","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza Tamathali za Semi katika mashairi ya\nShaaban Robert katika kazi zake za fasihi za Pambo la Lugha na\nMaisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini.\nUchambuzi wetu ulijielekeza katika kuchunguza Uchambuzi wa\nKifafanuzi tamathali za semi zinazojitokeza katika mashairi ya\nShaaban Robert ndani ya vitabu teule na kwa kiasi gani msanii\naliitumia.\nKatika makala hii tumegundua kuwa msanii alitumia tamathali za\nsemi kama mbinu ya kisanii kuwasilisha ujumbe kwa hadhira yake.\nSitiari. ,Tafsida, Takriri, Tashbiha, Tashhisi,\nTamathali za semi ambazo zimeonekana kutumiwa zaidi katika\nmashairi hayo ni sitiari, tashibiha, tashihisi, tafsida na takriri.\nMwandishi pia alilenga kutumia Tamathali za Semi katika\nkatika ushairi wake ili kushughulikia baadhi ya masuala\nya kijamii, kama vile ukatili dhidi ya wanawake na nafasi\nzao katika jamii.Hili ndilo lililofanya mashairi ya mwandishi kuwa na thamani ya kifasihi na kijamii, namtindo wake kuwa na mvuto katika jamii. makundi mbalimbali ya jamii ya Watanzania.","PeriodicalId":508704,"journal":{"name":"Journal of Human Sciences","volume":"154 ","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-02-06","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Human Sciences","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.51984/johs.v23i1.2697","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inachunguza Tamathali za Semi katika mashairi ya
Shaaban Robert katika kazi zake za fasihi za Pambo la Lugha na
Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini.
Uchambuzi wetu ulijielekeza katika kuchunguza Uchambuzi wa
Kifafanuzi tamathali za semi zinazojitokeza katika mashairi ya
Shaaban Robert ndani ya vitabu teule na kwa kiasi gani msanii
aliitumia.
Katika makala hii tumegundua kuwa msanii alitumia tamathali za
semi kama mbinu ya kisanii kuwasilisha ujumbe kwa hadhira yake.
Sitiari. ,Tafsida, Takriri, Tashbiha, Tashhisi,
Tamathali za semi ambazo zimeonekana kutumiwa zaidi katika
mashairi hayo ni sitiari, tashibiha, tashihisi, tafsida na takriri.
Mwandishi pia alilenga kutumia Tamathali za Semi katika
katika ushairi wake ili kushughulikia baadhi ya masuala
ya kijamii, kama vile ukatili dhidi ya wanawake na nafasi
zao katika jamii.Hili ndilo lililofanya mashairi ya mwandishi kuwa na thamani ya kifasihi na kijamii, namtindo wake kuwa na mvuto katika jamii. makundi mbalimbali ya jamii ya Watanzania.
罗伯特-沙班(Robert Shaaban)在潘博(Pambo la Lugha)和玛伊莎-扬古(Maisha Yangu)以及米亚卡-哈姆西尼(Miaka Hamsini)的 "流利"(fluenti)语言培训课程中担任了重要角色。Uchambuzi wetu ulijielekeza katika kuchunguza Uchambuzi waKifafanuzi tamathali za semi zinazojitokeza katika mashairi yaShaaban Robert ndani ya vitabu teule na kwa kiasi gani msaniialiitumia.Katika makala hii tumegundua kuwa msanii alitumia tamathali zasemi kama mbinu ya kisanii kuwasilisha ujumbe kwa hadhira yake.Sitiari。Tafsida、Takriri、Tashbiha、Tashhisi、Tamathali za semi ambazo zimeonekana kutumiwa zaidi katikamashairi hayo ni sitiari、tashibiha、tashihisi、tafsida na takriri。在塔马萨利州,有一个名为 "半边天"(Semi katikakatika ushairi wake)和一个名为 "唤醒"(kushughulikia baadhi ya masualaya kijamii)的项目,该项目由一个名为 "唤醒"(wanawake)和一个名为 "唤醒"(jamii)的项目组成。毫无疑问,在坦桑尼亚还有很多工作要做。