Ubainifu WA Matendo Ya Kisihiri: Mifano Kutoka Bunilizi Teule Za Fasihi Ya Kiswahili Ya Watoto

Gloria Kimbi, Dkt, Edith Lyimo, Dkt, Grace Minja
{"title":"Ubainifu WA Matendo Ya Kisihiri: Mifano Kutoka Bunilizi Teule Za Fasihi Ya Kiswahili Ya Watoto","authors":"Gloria Kimbi, Dkt, Edith Lyimo, Dkt, Grace Minja","doi":"10.36349/easjehl.2024.v07i02.005","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Sihiri Ni miongoni mwa mbinu zinazotumika katika utunzi WA kazi za kifasihi zikiwamo bunilizi za watoto za fasihi mbalimbali ulimwenguni. Aidha, kumekuwa Na mkanganyiko mkubwa juu ya matumizi ya matendo [ ]. Ya kisihiri katika bunilizi za watoto. Wataalam wengi WA fasihi ya watoto wamechunguza fantasia Kwa upekee wake bila kujadili matendo ya kisihiri kimajumui. Suala hili limesababisha kutokuchunguzwa Kwa matendo mengine yanayohusisha sihiri Na kuacha ombwe la maarifa juu ya matendo ya kisihiri yanayounda kazi mbalimbali za watoto Na fasihi ya Kiswahili ya watoto ikiwemo. Hivyo, makala hii imebainisha Na kufafanua matendo ya kisihiri yanayopatikana katika bunilizi teule za fasihi ya Kiswahili ya watoto. Ili kufanikisha lengo la makala hii, bunilizi tano za fasihi ya Kiswahili ya watoto ambazo Ni Mfalme Ndevu Na Masikini-Mkatakuni, Sinderela, Hadithi ya Morile, Hadithi za Kusisimua Na Marimba ya Majaliwa zimechunguzwa. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika bunilizi teule Kwa njia ya usomaji Na uchambuzi matini. Nadharia ya Uhalisiajabu imeongoza ukusanyaji Na uchanganuzi WA data za makala hii. Msingi WA Nadharia uliotumika ni ule unaoeleza kuwa Uhalisiaajabu hutokana na muunganiko wa masuala halisi pamoja na yale yasiyo halisi. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa bunilizi teule za fasihi ya Kiswahili ya watoto zimeundwa Kwa matendo mbalimbali ya kisihiri. Matendo hayo yamegawanyika katika makundi matatu. Kundi la kwanza linahusisha matendo ya kimazingaombwe Kama vile viumbe wasio binadamu kuzungumza, viumbe kujibadilisha muonekano na kuchukuwa sura na umbo la viumbe wengine, mtu kutumia vitu kujipatia mahitaji yake, vifaa visivyo rasmi kwa shughuli ya usafiri kutumika katika usafiri pamoja na fimbo kuchapa bila kushikwa na mtu. Kundi la pili linahusisha matendo ya kitabiri Kama, mtu kutabiri mipango ya maadui Kwa mtendwa Na mtu kuteguwa kitendawili kabla ya kukisikia. Aidha, kundi la tatu limehusisha matendo ya kiganga Kama vile dawa kutumika Kama kinga d","PeriodicalId":352934,"journal":{"name":"East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature","volume":"87 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-02-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.36349/easjehl.2024.v07i02.005","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Sihiri Ni miongoni mwa mbinu zinazotumika katika utunzi WA kazi za kifasihi zikiwamo bunilizi za watoto za fasihi mbalimbali ulimwenguni. Aidha, kumekuwa Na mkanganyiko mkubwa juu ya matumizi ya matendo [ ]. Ya kisihiri katika bunilizi za watoto. Wataalam wengi WA fasihi ya watoto wamechunguza fantasia Kwa upekee wake bila kujadili matendo ya kisihiri kimajumui. Suala hili limesababisha kutokuchunguzwa Kwa matendo mengine yanayohusisha sihiri Na kuacha ombwe la maarifa juu ya matendo ya kisihiri yanayounda kazi mbalimbali za watoto Na fasihi ya Kiswahili ya watoto ikiwemo. Hivyo, makala hii imebainisha Na kufafanua matendo ya kisihiri yanayopatikana katika bunilizi teule za fasihi ya Kiswahili ya watoto. Ili kufanikisha lengo la makala hii, bunilizi tano za fasihi ya Kiswahili ya watoto ambazo Ni Mfalme Ndevu Na Masikini-Mkatakuni, Sinderela, Hadithi ya Morile, Hadithi za Kusisimua Na Marimba ya Majaliwa zimechunguzwa. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika bunilizi teule Kwa njia ya usomaji Na uchambuzi matini. Nadharia ya Uhalisiajabu imeongoza ukusanyaji Na uchanganuzi WA data za makala hii. Msingi WA Nadharia uliotumika ni ule unaoeleza kuwa Uhalisiaajabu hutokana na muunganiko wa masuala halisi pamoja na yale yasiyo halisi. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa bunilizi teule za fasihi ya Kiswahili ya watoto zimeundwa Kwa matendo mbalimbali ya kisihiri. Matendo hayo yamegawanyika katika makundi matatu. Kundi la kwanza linahusisha matendo ya kimazingaombwe Kama vile viumbe wasio binadamu kuzungumza, viumbe kujibadilisha muonekano na kuchukuwa sura na umbo la viumbe wengine, mtu kutumia vitu kujipatia mahitaji yake, vifaa visivyo rasmi kwa shughuli ya usafiri kutumika katika usafiri pamoja na fimbo kuchapa bila kushikwa na mtu. Kundi la pili linahusisha matendo ya kitabiri Kama, mtu kutabiri mipango ya maadui Kwa mtendwa Na mtu kuteguwa kitendawili kabla ya kukisikia. Aidha, kundi la tatu limehusisha matendo ya kiganga Kama vile dawa kutumika Kama kinga d
Ubainifu WA Matendo Ya Kisihiri:Mifano Kutoka Bunilizi Teule Za Fasihi Ya Kiswahili Ya Watoto
Sihiri Ni miongoni mwa mbinu zinazotumika katika utunzi WA kazi za kifasihi zikiwamo bunilizi za watoto za fasihi mbalimbali ulimwenguni。在[......]中的[......]中的[......]。在 "水 "的概念中的 "水"。Wataalam wengi WA fasihi ya watoto wamechunguza fantasia Kwa upekee wake bila kujadili matendo ya kisihiri kimajumui.我们将在未来的日子里,继续努力,使我们的生活更加美好。在未来,我们将继续加强对语言的研究,以提高我们的语言能力。在我的学习生涯中,我一直在努力学习斯瓦希里语,并在 Ni Mfalme Ndevu Na Masikini-Mkatakuni, Sinderela, Hadithi ya Morile, Hadithi za Kusisimua Na Marimba ya Majaliwa zimechunguzwa 等地方学习斯瓦希里语。这些数据可以帮助我们更好地理解我们的工作。西澳大利亚州的 Nadharia ya Uhalisiajabu imeongoza ukusanyaji Na uchanganuzi WA data za makala hii.西澳大利亚州的 Nadharia uliotumika ni ule unaoeleza kuwa Uhalisiaajabu hutokana na muunganiko wa masuala halisi pamoja na yale yasiyo halisi.我们的目标是:在我们的生活中,让我们的语言更加丰富多彩,让我们的生活更加丰富多彩。我们要做的是,让我们的生活更美好。我们的目标是:在我们的国家,在我们的社会,在我们的社区,在我们的家庭,在我们的社区,在我们的社会,在我们的国家,在我们的社会,在我们的社区,在我们的国家,在我们的社会,在我们的社区,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会、在我们的社会中,有很多人都有一个共同点,那就是 "我 "和 "我的朋友","我 "和 "我的家人"。我们的工作是为我们的客户提供服务,我们的工作是为我们的客户提供服务,我们的工作是为我们的客户提供服务,我们的工作是为我们的客户提供服务。在这里,你会发现,在你的生活中,有很多事情是你无法预料的。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:604180095
Book学术官方微信