{"title":"Maono ya Bonde la Kilombero, Tanzania","authors":"Jonathan M. Jackson, Francis Ching’ota","doi":"10.1163/26836408-15020081","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Ikisiri Makala hii inaangazia historia ya maendeleo ya bonde la Kilombero na hasa, dira juu ya maendeleo ya bonde hili lililoko kusini-kati mwa Tanzania. Tangu kipindi cha mwanzo cha ukoloni, bonde lilisifiwa kuwa na rutuba ya kutosha na mipango mingi iliandaliwa kuitumia rutuba hiyo kwa uzalishaji mazao. Matumizi ya ardhi hii yalitarajiwa kuleta mageuzi makubwa vijijini na kuboresha maisha ya watu. Ili kuelewa vyema dhima na umuhimu wa mipango ya awali juu ya bonde la Kilombero, makala hii inaangazia historia ya maendeleo kupitia mipango ya siku za nyuma ili kuona namna mipango hiyo ilivyosaidia maendeleo ya sasa na siku zijazo. Dhamira kuu nne za historia ya maendeleo zimeainishwa na kujadiliwa. Dhamira hizo ni: uimarishaji wa kilimo; udhibiti wa ikolojia; miundombinu; na makazi. Makala hii inaleta mtazamo mpya kuhusu Kilombero, lakini mtazamo huo unaweza kutumiwa katika historia ya maendeleo ya mahali popote nchini Tanzania.","PeriodicalId":85828,"journal":{"name":"Utafiti","volume":"19 10","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-03","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Utafiti","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.1163/26836408-15020081","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Ikisiri Makala hii inaangazia historia ya maendeleo ya bonde la Kilombero na hasa, dira juu ya maendeleo ya bonde hili lililoko kusini-kati mwa Tanzania. Tangu kipindi cha mwanzo cha ukoloni, bonde lilisifiwa kuwa na rutuba ya kutosha na mipango mingi iliandaliwa kuitumia rutuba hiyo kwa uzalishaji mazao. Matumizi ya ardhi hii yalitarajiwa kuleta mageuzi makubwa vijijini na kuboresha maisha ya watu. Ili kuelewa vyema dhima na umuhimu wa mipango ya awali juu ya bonde la Kilombero, makala hii inaangazia historia ya maendeleo kupitia mipango ya siku za nyuma ili kuona namna mipango hiyo ilivyosaidia maendeleo ya sasa na siku zijazo. Dhamira kuu nne za historia ya maendeleo zimeainishwa na kujadiliwa. Dhamira hizo ni: uimarishaji wa kilimo; udhibiti wa ikolojia; miundombinu; na makazi. Makala hii inaleta mtazamo mpya kuhusu Kilombero, lakini mtazamo huo unaweza kutumiwa katika historia ya maendeleo ya mahali popote nchini Tanzania.
Ikisiri Makala inaangazia historia ya maendeleo ya bonde la Kilombero na hasa, dira juu ya maendeleo ya bonde hili lililoko kusini-kati mwa Tanzania.在这种情况下,你必须为自己的劳动付出代价,你必须为自己家人的劳动付出代价。Ili kuelewa vyema dhima na umuhimu wa mipango ya awali juu ya bonde la Kilombero, makala hii inaangazia historia ya maendeleo kupitia mipango ya siku za nyuma ili kuona namna mipango hiyo ilivyosaidia maendeleo ya sasa na siku zijazo.我不知道这段历史是怎么回事,但我相信有很多值得一说的地方。我们有以下几点:aimarishaji wa kilimo;udhibiti wa ikolojia;miundombinu;na makazi。在坦桑尼亚的历史上,基隆贝罗是一个非常重要的地方。