{"title":"Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda","authors":"Atukunda Edwine, Dkt. Deborah Amukowa, Dkt. Owen McOnyango","doi":"10.36349/easjehl.2022.v05i04.003","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa vizuri katika mtihani wa kitaifa. Upande wa Kiswahili, kuna ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili na ugumu huu umesababisha matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa katika somo la ushairi wa Kiswahili nchini Uganda. Wanafunzi hawa husomea katika mandhari sawa. Hili linazua swali: kwa nini wanafunzi wanaofanya mtihani wa ushairi wa Kiganda watende vizuri kuliko wanafunzi wa ushairi wa Kiswahili? Makala hii itaweka wazi mambo ambayo ushairi wa Kiswahili waweza kukopa kutoka ushairi wa Kiganda na kujiendeleza. Madhumuni ya makala hii yatakuwa: Kudadavua jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kusahilisha mtindo katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji na kutathimini jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kukuza maudhui katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji. Mashairi yalikusanywa kutoka diwani mbili za Kiswahili na mbili za Kiganda. Mashairi 60 yalikusanywa yaani 30 ya Kiganda na 30 ya Kiswahili na 15 yalichaguliwa kutoka kila lugha kwa kutumia uteuzi nasibu. Mashairi yalitolewa kwenye diwani za Kiswahili; “Malenga wa ziwa kuu” na “Malenga wa karne moja” na za Kiganda; “Ab’Oluganda ab’Enda emu” na “Balya n’ensekeezi”. Makala hii unafafanua jinsi mwalimu wa ushairi wa Kiswahili anavyoweza kuhamisha maarifa kutoka ushairi wa Kiganda hadi wa Kiswahili. Utamsaidia kuendeleza ushairi wa Kiswahili kuhamisha maarifa ya ujifunzaji na ufunzaji kutokana na ushairi wa Kiganda ili kusahilisha ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili.","PeriodicalId":352934,"journal":{"name":"East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-04-30","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"1","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.36349/easjehl.2022.v05i04.003","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 1
Abstract
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa vizuri katika mtihani wa kitaifa. Upande wa Kiswahili, kuna ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili na ugumu huu umesababisha matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa katika somo la ushairi wa Kiswahili nchini Uganda. Wanafunzi hawa husomea katika mandhari sawa. Hili linazua swali: kwa nini wanafunzi wanaofanya mtihani wa ushairi wa Kiganda watende vizuri kuliko wanafunzi wa ushairi wa Kiswahili? Makala hii itaweka wazi mambo ambayo ushairi wa Kiswahili waweza kukopa kutoka ushairi wa Kiganda na kujiendeleza. Madhumuni ya makala hii yatakuwa: Kudadavua jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kusahilisha mtindo katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji na kutathimini jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kukuza maudhui katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji. Mashairi yalikusanywa kutoka diwani mbili za Kiswahili na mbili za Kiganda. Mashairi 60 yalikusanywa yaani 30 ya Kiganda na 30 ya Kiswahili na 15 yalichaguliwa kutoka kila lugha kwa kutumia uteuzi nasibu. Mashairi yalitolewa kwenye diwani za Kiswahili; “Malenga wa ziwa kuu” na “Malenga wa karne moja” na za Kiganda; “Ab’Oluganda ab’Enda emu” na “Balya n’ensekeezi”. Makala hii unafafanua jinsi mwalimu wa ushairi wa Kiswahili anavyoweza kuhamisha maarifa kutoka ushairi wa Kiganda hadi wa Kiswahili. Utamsaidia kuendeleza ushairi wa Kiswahili kuhamisha maarifa ya ujifunzaji na ufunzaji kutokana na ushairi wa Kiganda ili kusahilisha ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili.
乌干达的语言学家们正在努力学习斯瓦希里语。在语言学领域,我们的目标是在语言学领域取得突破。在斯瓦希里语方面,乌干达的斯瓦希里语学习者可以从乌干达的斯瓦希里语学习者中受益。在乌干达,我们的语言是斯瓦希里语。您的问题是:在乌干达有哪些人需要学习斯瓦希里语?如果我们的语言是斯瓦希里语,那么我们的语言就会在基干达语的基础上进一步发展。我们将继续努力:我们在基干达的工作没有得到任何帮助,我们在斯瓦希里语的工作没有得到任何帮助,我们在基干达的工作没有得到任何帮助。我们还将继续努力,帮助更多的人掌握斯瓦希里语和基干达语。60 人中有 30 人是基干语,30 人是斯瓦希里语,15 人是法语。在斯瓦希里语中,有 "Malenga wa ziwa kuu "和 "Malenga wa karne moja",在基干语中,有 "Ab'Oluganda ab'Enda emu "和 "Balya n'ensekeezi"。这些都是在斯瓦希里语的基础上发展起来的。在我们的语言中,有一种语言叫 "ujifunzaji "和 "ufunzaji",在我们的语言中,有一种语言叫 "Kiganda "和 "kusahilisha ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili"。