{"title":"在斯瓦希里语中使用 \"Mofolojia Isoshikanisho \"一词","authors":"Deogratias Ngonyani","doi":"10.37284/jammk.6.2.1580","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inafafanua na kujadili mofolojia isoshikanisho katika Kiswahili na dhana ya mofimu. Baada ya kuelezea sifa bainifu za mofolojia mshikanisho na isoshikanisho, mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafafanuliwa. Mifano hiyo ni katika vionyeshi, uradidi, na ufupishaji wa majina na nomino. Violezo na ruwaza vinaelezwa kuwa muhimu katika fasili ya mofimu katika mofolojia isoshikanisho. Makala inabainisha mofimu za Kiswahili zinaundwa na vipandesauti na violezo. Kwa upande mwingine, violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"10 4","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-21","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Mofolojia Isoshikanisho katika Kiswahili\",\"authors\":\"Deogratias Ngonyani\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.2.1580\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala hii inafafanua na kujadili mofolojia isoshikanisho katika Kiswahili na dhana ya mofimu. Baada ya kuelezea sifa bainifu za mofolojia mshikanisho na isoshikanisho, mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafafanuliwa. Mifano hiyo ni katika vionyeshi, uradidi, na ufupishaji wa majina na nomino. Violezo na ruwaza vinaelezwa kuwa muhimu katika fasili ya mofimu katika mofolojia isoshikanisho. Makala inabainisha mofimu za Kiswahili zinaundwa na vipandesauti na violezo. Kwa upande mwingine, violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili\",\"PeriodicalId\":504864,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"10 4\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-11-21\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1580\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1580","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在斯瓦希里语中,"mofolojia isoshikanisho "和 "isoshikanisho "的含义是相同的,而在斯瓦希里语中,"mofolojia "和 "isoshikanisho "的含义是不同的。如果是 "mefolojia mshikanisho "和 "isoshikanisho","mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafanuliwa"。我们还将为您提供更多的信息,如:"您的姓名"、"您的电话号码"、"您的姓名"、"您的名字"。我们还将继续努力,以确保我们的工作更加高效。在斯瓦希里语中,"ruinaelezwa "指的是 "vipandesauti "和 "violezo"。在这种情况下,"violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili"。
Makala hii inafafanua na kujadili mofolojia isoshikanisho katika Kiswahili na dhana ya mofimu. Baada ya kuelezea sifa bainifu za mofolojia mshikanisho na isoshikanisho, mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafafanuliwa. Mifano hiyo ni katika vionyeshi, uradidi, na ufupishaji wa majina na nomino. Violezo na ruwaza vinaelezwa kuwa muhimu katika fasili ya mofimu katika mofolojia isoshikanisho. Makala inabainisha mofimu za Kiswahili zinaundwa na vipandesauti na violezo. Kwa upande mwingine, violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili