Miaka 60 ya Ufundishaji wa Kiswahili nchini China

Zhao Lei
{"title":"Miaka 60 ya Ufundishaji wa Kiswahili nchini China","authors":"Zhao Lei","doi":"10.56279/jk.v85i1.8","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Kozi ya Kiswahili ilianza kufundishwa nchini China tangu mwaka 1960. Katika miaka 60 iliyopita, kozi hiyo imepitia kipindi cha ukuaji (1960-1977), kipindi cha mdororo (1978-1999) na kipindi cha upanuzi (2000-Sasa) pamoja na mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi ya ndani pamoja na uhusiano baina ya China na Tanzania. Makala hii imepitia historia ya ufudishaji wa Kiswahili nchini China kwa ujumla. Pia, imehakiki maendeleo na changamoto zake katika masomo, vitabu vya kiada, walimu na wanafunzi na kutoa mapendekezo ya kuukuza ufundishaji na utafiti wa lugha hii nchini China.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"18 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.8","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Kozi ya Kiswahili ilianza kufundishwa nchini China tangu mwaka 1960. Katika miaka 60 iliyopita, kozi hiyo imepitia kipindi cha ukuaji (1960-1977), kipindi cha mdororo (1978-1999) na kipindi cha upanuzi (2000-Sasa) pamoja na mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi ya ndani pamoja na uhusiano baina ya China na Tanzania. Makala hii imepitia historia ya ufudishaji wa Kiswahili nchini China kwa ujumla. Pia, imehakiki maendeleo na changamoto zake katika masomo, vitabu vya kiada, walimu na wanafunzi na kutoa mapendekezo ya kuukuza ufundishaji na utafiti wa lugha hii nchini China.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信