Utumikizi wa Mwingilianotanzu katika Fasihi ya Watoto

Caroline Nyambura Muriithi, Boniface Ngugi
{"title":"Utumikizi wa Mwingilianotanzu katika Fasihi ya Watoto","authors":"Caroline Nyambura Muriithi, Boniface Ngugi","doi":"10.37284/jammk.4.1.439","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Tanzu zimeendelea kujidhihirisha katika umbo la riwaya na kuifanya mseto wa mambo mbalimbali. Kutegemeana na kuathiriana kwa tanzu kunaitwa mwingilianotanzu. Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kudhihirisha matumizi ya tanzu mbalimbali katika umbo lake na hivyo kuwa changamano. Uchangamano huu unatatiza upokeaji na uelewekaji wa dhima yake, hasa ikizingatiwa kuwa riwaya hizo zinatumika katika mtaala wa elimu nchini. Makala haya yananuia kufafanua ni vipi mwingilianotanzu unavyojisawiri katika vitabu vya fasihi ya watoto. Mifano itatokana na baadhi ya vitabu teule vya fasihi ya watoto ni Habari za Mawio (Masoud Nassor) na Maskini Bibi Yangu! (Said A Mohamed). Mwishowe itapendekeza namna mwingilianotanzu unavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi katika uelekezaji wa usomaji na kuuwasilisha ujumbe katika fasihi ya watoto.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"171 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-10-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.4.1.439","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Tanzu zimeendelea kujidhihirisha katika umbo la riwaya na kuifanya mseto wa mambo mbalimbali. Kutegemeana na kuathiriana kwa tanzu kunaitwa mwingilianotanzu. Fasihi ya watoto imeendelea kukua na kudhihirisha matumizi ya tanzu mbalimbali katika umbo lake na hivyo kuwa changamano. Uchangamano huu unatatiza upokeaji na uelewekaji wa dhima yake, hasa ikizingatiwa kuwa riwaya hizo zinatumika katika mtaala wa elimu nchini. Makala haya yananuia kufafanua ni vipi mwingilianotanzu unavyojisawiri katika vitabu vya fasihi ya watoto. Mifano itatokana na baadhi ya vitabu teule vya fasihi ya watoto ni Habari za Mawio (Masoud Nassor) na Maskini Bibi Yangu! (Said A Mohamed). Mwishowe itapendekeza namna mwingilianotanzu unavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi katika uelekezaji wa usomaji na kuuwasilisha ujumbe katika fasihi ya watoto.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信